Wisdom & Strategy

“Mawazo makali, hekima za maisha, pesa, mahusiano na mindset ya ushindi kutoka Black Wolf.”

Uko Tayari Kujiunga na Kundi la Mafanikio?

Black Wolf Foundation inakualika kuwa sehemu ya mfumo wa uwezeshaji unaowajenga viongozi wa kesho kupitia elimu, mtaji, na fursa za kiuchumi.